WACHEZAJI wa Simba na Jezi namba 9 Kuna nini?? Mchezaji wa Mwisho Kuvaa Jezi Namba 9 Ndani ya Klabu ya Simba Alikuwa ni Mshambuliaji Gervais Kago Toka nchi ya Africa ya Kati katika Msimu wa Mwaka 2011-201 Mchezaji mwingine aliyeonekana kuvaa jezi namba 9 ni Frederic…

🚨Niko Hapa Kudhibitisha Kuwa Klabu ya Simba Sc 🇹🇿 Imekamilisha Usajili Wa Kiungo Mshambuliaji Toka Katika Klabu ya KMC Aweso Aweso,Hii Ikiwa ni Katika Kuendelea Kuboresha Kikosi Chao Kuelekea Msimu Mpya Wa Mwaka 2024/25.

SIMBA SC IMEMALIZANA NA HAWA WATATU  . Klabu ya Simba Sc 🇹🇿 Imekamilisha Uhamisho Wa Sajili Hizi 03 za Wachezaji Hawa Wakigeni: . ✍️ Kiungo Debora Mavambo Fernandez 🇨🇬 ✍️ Mlinzi Chamou KARABOUE 🇨🇮 ✍️ Beki Wa KushotoValentin NOUMA 🇧🇫

YAMETIMIA ! Golikipa Khomein ABUBAKAR Toka Singida Black Stars Rasmi Atua Yanga Sc 🇹🇿

SIMBA HAO MISRI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA ! . Kundi la Kwanza la Wachezaji Wa Simba Limeondoka Leo Kuelekea Nchini Misri 🇪🇬 Kwaajili ya kuweka Kambi ya Pre Season Kwa Wiki Tatu,Kujiandaa na Msimu Ujao Wa Mwaka 2024/25.

SIMBA YAACHANA NA KANOUTE   . 🚨Klabu ya Simba Sc Imethibitisha Rasmi KUACHANA na Kiungo wake Mkabaji Sadio KANOUTE!

Klabu ya Singida Black Stars Wamekamilisha Uhamisho Wa Wachezaji Watatu Toka ASEC MIMOSAS Ambao Watakuwa Sehemu ya kikosi Chao Kuelekea Msimu Mpya Wa Mwaka 2024/25. . ✍️ANTHONY TRA BI TRA,  ✍️ARTHUR BADA NA  ✍️ANDRE CYRELL  . Wote Walikuepo Benchi Jana Katika Mchezo W…