AL AHLY YAANZA KURUDI KWENYE NAFASI YAKE LIGI KUU,BAADA YA USHINDI

.

Klabu ya Al Ahly Toka Nchini Misri 🇪🇬 Jana Imeshinda Mchezo Wake Kwa Mabao 2-1 Dhidi ya El Dkhalya na Kufanya Isogee Zaidi Katika Nafasi ya Pili Huku Ikiwa na Mechi 06 Mkononi Nyuma ya Pyramid Fc 


Ambayo Ndiyo Kinara Wa LIGI hiyo Mwenye point 59 na Michezo 24. Ikiwa imebakiza Michezo 10 Ligi Hiyo Kutamatika.

0 Comments