🚨Klabu ya Mashujaa Fc imefanikiwa kuwaongezea mikataba mipya wachezaji wake Ibrahim Ame, Balama Mapinduzi, David Ulomi na Lameck Kanyonga kwaajili ya msimu mpya wa 2024 - 25
✅ Mikataba yao itamalizika 2025
🔥🔥🔥
Chaguo la mtazamaji
1 Comments
🔥🔥🔥
ReplyDelete