.
Klabu ya Simba Sc 🇹🇿 inaendelea Kufanya Marekebisho ya kikosi Chake, Kuelekea Msimu Ujao Leo imetangaza Rasmi KUACHANA na BEKI Wao Wa Kati Henock Inonga Baka Maarufu Kama Varane.
.
Ambaye Ameitumikia Klabu hiyo Kwa Miaka mitatu!
Chaguo la mtazamaji
0 Comments