SKUDU,NKANE NA WENGIN KUACHWA YANGA
✍️Klabu ya Yanga πΉπΏ tayari imeanza kuachana na wachezaji ambao hawapo kwenye mpango wa kocha wao Mkuu Miguel Gamond
✍️Augustine Okrah π¬π, Makudubela πΏπ¦, Denis Nkane πΉπΏ, Zawadi Mauya πΉπΏ, Metacha Mnata πΉπΏ hawapo kwenye mipango ya kocha.
⏳ Mchakato unaendelea
0 Comments