ABDULRAZACK HAMZA NI MNYAMA 🔴⚪️
Klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili mlinzi wa kati Abdulrazack Mohamed Hamza kutoka Super Sport ya Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka miwili.
Abdulrazack mwenye umri wa miaka 21 ni mchezaji wa Kitanzania aliyekuwa akicheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika klabu ya SuperSport United.
Lakini pia aliwahi kupita kwenye vilabu vya Tanzania kama Mbeya City, KMC na Namungo FC.
0 Comments