🚨Niko Hapa Kudhibitisha Kuwa Klabu ya Simba Sc 🇹🇿 Imekamilisha Usajili Wa Kiungo Mshambuliaji Toka Katika Klabu ya KMC Aweso Aweso,Hii Ikiwa ni Katika Kuendelea Kuboresha Kikosi Chao Kuelekea Msimu Mpya Wa Mwaka 2024/25.

0 Comments