WACHEZAJI wa Simba na Jezi namba 9 Kuna nini??
Mchezaji wa Mwisho Kuvaa Jezi Namba 9 Ndani ya Klabu ya Simba Alikuwa ni Mshambuliaji Gervais Kago Toka nchi ya Africa ya Kati katika Msimu wa Mwaka 2011-201
Mchezaji mwingine aliyeonekana kuvaa jezi namba 9 ni Frederick Blagnon, naye aliishia kuivaa mazoezini tu ila kwenye mechi alitumia jezi namba 27
.
Na Mwengine ni Mavugo Nae Alivaa Siku ya Simba day tu Ila Baadaye Alibadilisha Nakuvaa Jezi NAMBA 11
✍️Kuna siri gani ndani ya jezi namba 9,ndani ya Klabu ya Simba??
✍️Kwanini jezi hii haitumiki?? Au Wameistaafisha?
0 Comments