Klabu ya Singida Black Stars Wamekamilisha Uhamisho Wa Wachezaji Watatu Toka ASEC MIMOSAS Ambao Watakuwa Sehemu ya kikosi Chao Kuelekea Msimu Mpya Wa Mwaka 2024/25.
.
✍️ANTHONY TRA BI TRA,
✍️ARTHUR BADA NA
✍️ANDRE CYRELL
.
Wote Walikuepo Benchi Jana Katika Mchezo Wa Singida Black Stars vs Apr Kwenye mashindano ya Kagame Cup
0 Comments