Klabu ya Singida Black Stars Wamekamilisha Uhamisho Wa Wachezaji Watatu Toka ASEC MIMOSAS Ambao Watakuwa Sehemu ya kikosi Chao Kuelekea Msimu Mpya Wa Mwaka 2024/25. . ✍️ANTHONY TRA BI TRA, ✍️ARTHUR BADA NA ✍️ANDRE CYRELL . Wote Walikuepo Benchi Jana Katika Mchezo W…