SIMBA YAACHANA NA BABACAR . Klabu ya Simba Sc Imeachana na Kiungo Wake Babacar sarr kwakuvunja Mkataba Kwa Makubaliano ya Pande Zote Mbili.
SIMBA YAACHANA NA BABACAR . Klabu ya Simba Sc Imeachana na Kiungo Wake Babacar sarr kwakuvunja Mkataba Kwa Makubaliano ya Pande Zote Mbili.
RULAN MOKWENA ATUA WYDAD AC Aliyekuwa Kocha Wa Mamelod Sundown Rulan Mokwena ATUA WYDAD AC kama Kocha Mkuu
YAMETIMIA! Kijiri Ni Mnyama π¦ . Klabu ya Simba Imekamilisha Usajili Wa Mchezaji Kelvin Kijiri (24)Toka Singida Fountain Gates Kwa Mkataba Wa Miaka 2.
π¨ Kwa Ufupi Sana: DUBE ni Mali ya Yanga Sc πΉπΏ, Azizi Ki Aongeza Mkataba Wa Miaka Miwili Yanga Sc Atupilia Mbali Ofa Zote Kubwa! . Msimu Ujao π
SARR NA ONANA KUPEWA THANK YOU SIMBA SC . Klabu ya Simba Sc Inaweza KUACHANA na WACHEZAJI Wake Wawili Babacar sarr Pamoja na Msenegal Andrea Onana,Kuelekea Msimu Mpya Wa Mwaka 2024/25.
ABDULRAZACK HAMZA NI MNYAMA π΄⚪️ Klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili mlinzi wa kati Abdulrazack Mohamed Hamza kutoka Super Sport ya Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka miwili. Abdulrazack mwenye umri wa miaka 21 ni mchezaji wa Kitanzania aliyekuwa akicheza soka la k…
Chaguo la mtazamaji